Majibu ya pili ya vipimo vya RC wa Kilimanjaro Anna Mgwira yameonesha kuwa amepona virusi vya corona.Kiongozi huyu aliyethibitika kupata ma...
Majibu ya pili ya vipimo vya RC wa Kilimanjaro Anna Mgwira yameonesha kuwa amepona virusi vya corona.Kiongozi huyu aliyethibitika kupata maambukizi ya virusi vya corona mnamo April 29 mwaka huu,kwa sasa ni mzima wa afya na hana tena maambukizi
source: JamiiForums
No comments